Nauza matofali ya interlocking

Nauza matofali ya interlocking

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
hizi ni tofari nzuri sana,material yake ni cement,mchanga na molamu iliyochenjuliwa,zipo aina 2 za machine za kufyatulia,moja ya umeme na nyingine ya mkono,mwenye kujua bei zake anisaidie,ikiwezekana na mawasiliano
 
Hizo mashine tunazo toka ofisi zetu zilizopo vingunguti Sido

Ni laki saba na nusu ya manual na umeme 4m
Nicheki wasap/call/SMS 0762612213

Au kuziona ingia website yetu www.najidakia.com karibu sana
 
Habari zenu waungwana, poleni sana na majukumu mnayofanya ya kulijenga taifa letu la Tanzania. Naombeni kwa yeyote yule anaejua tofali za interlock zinapouzwa ndani ya mkoa wa Tanga anijulishe na zinauzwa bei gani kwa tofali moja ninakusudia Tanga mjini.
 
Back
Top Bottom