Kitimoto cha Mianzini Starlight Bar nikitamubalaa

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,958
Wadau msema ukweli mpenzi wa Mungu,Kitimoto cha hapa Starlight Mianzini wanaita kituo cha 2, nikitamu sijawahi ona popote. Kwanza nilaini kama keki ya Harusi halafu ladha yake pia utadhani unakula ndafu! Jamani hata maandalizi yake niyahali ya juu ukiachia usafi.Sasa raha yake uagize vipande viwili ushushie na ugali then Maji ya kilimanjaro,then ,,,,,,,! Ipo haja ya TBS,TFDA kuanza kutoa tuzo kwa wapika Kitimoto bora. Kwakweli ninamengi ya kuongea ilaniachie hapo kwa sasa. Arusha jamani wee acha tu!

Karibuni.
 
Hapo kipindi nimekuja ARUSHA about 2 month's ago..nikapelekwa na jamaa yangu aisee tukaagiza kilo mbili tena ilikua ya kuchoma ni balaa..! Huku Serengeti bariidi inashuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeniona nakula hapa au, nliambiwaga sku nyingi nikabisha kumbe ....mmh ...japo unafanya marketing ila u really deserve it!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
leo nyuzi za kitimoto sijui mme ambizana
 
Wadau msema ukweli mpenzi wa Mungu,Kitimoto cha hapa Starlight Mianzini wanaita kituo cha 2, nikitamu sijawahi ona popote. Kwanza nilaini kama keki ya Harusi halafu ladha yake pia utadhani unakula ndafu! Jamani hata maandalizi yake niyahali ya juu ukiachia usafi.Sasa raha yake uagize vipande viwili ushushie na ugali then Maji ya kilimanjaro,then ,,,,,,,! Ipo haja ya TBS,TFDA kuanza kutoa tuzo kwa wapika Kitimoto bora. Kwakweli ninamengi ya kuongea ilaniachie hapo kwa sasa. Arusha jamani wee acha tu!

Karibuni.
Uroho tu wa nyama unakusumbua! unajisifia nyama haramu? ungejua maradhi unayojijengea ndani ya mwili wako, ungeitazama hiyo nyama kwa kinyaaa..
 
Wadau msema ukweli mpenzi wa Mungu,Kitimoto cha hapa Starlight Mianzini wanaita kituo cha 2, nikitamu sijawahi ona popote. Kwanza nilaini kama keki ya Harusi halafu ladha yake pia utadhani unakula ndafu! Jamani hata maandalizi yake niyahali ya juu ukiachia usafi.Sasa raha yake uagize vipande viwili ushushie na ugali then Maji ya kilimanjaro,then ,,,,,,,! Ipo haja ya TBS,TFDA kuanza kutoa tuzo kwa wapika Kitimoto bora. Kwakweli ninamengi ya kuongea ilaniachie hapo kwa sasa. Arusha jamani wee acha tu!

Karibuni.
"laini kama keki ya harusi"
 
AISEE TUMA PICHA
 
Si nasikiaga hapo wanauzaga kiti moto zilizokufa zenyewe? Yaan wanawekeza kwenye ujuzi wa mapishi lakini ni mizoga kwa bei ndogo.sijui hili kama lina ukweli
 
Ume nikumbusha wakati na ishu Arusha miaka ya mwishoni mwa utawara wa Mkapa kulikuwa na mabanda ya kitimoto hapo mianzini hatari sanaa
 
Back
Top Bottom