NATAFUTA SIM TANK LITA 3000

NATAFUTA SIM TANK LITA 3000

caine

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2015
Posts
633
Reaction score
1,451
Wasalaam

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni mjasiriamali wa kilimo cha umwagiliaji. Ninahitaji simtank kwa ajili ya matumizi ya kazi zangu za shambani.

Napatikana Dar es salaam muuzaji anitafute kupitia namba zifuatzo.
0656256759
0738369567 ( whatsapp only)

Unaweza kunitext pm pia. Ni muhimu na haraka sana. Karibuni kwa maelewano na mapatano ya bei ili tukamilishe hili jambo.
 
Mkuu ulipata ?
Mimi ninalo hapa la lita 3000 ila siuzi asee jaribu kutafta
 
Back
Top Bottom