KINYOZI WA KIUME ANAHITAJIKA HARAKA UWE ARUSHA.

KINYOZI WA KIUME ANAHITAJIKA HARAKA UWE ARUSHA.

mjasilia

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2012
Posts
594
Reaction score
172
Natafuta kinyozi awe na sifa zifuatazo:-
1): Awe wakiume umri si zaidi 23.
2): Asiwe mlevi, mvuta bangi,mvuta sigara au mtumiaji wa madawa ya kulevya km mirungi.
3): Asiwe mpenda starehe sana.
4): Awe mcha Mungu sana.
5): Mchapa kazi na mwenye kujifunza haraka hasa Tehama.
6): Awe na uwezo wa kutumia kamera na kusafisha picha.(anaweza fundishwa kama anauelewa wa haraka)
7): Awe mwaminifu sana.
8): Sifa ya ziada added advantage form 4 atapewa kipaumbele.

MAWASILIANO:

thomsonsinvestment@gmail.com
 
Back
Top Bottom