Natafuta wakulima wa hops

Natafuta wakulima wa hops

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
2,311
Reaction score
2,196
Habari wakuu. Naomba kama kuna yeyote analima au anamfahamu mkulima wa zao la hops (nimeshindwa kupata tafsiri ya Kiswahili) tuwasiliane 0768734611 au 0786817145. Hops ni kile kiungo kinachotumika kwenye utengenezaji wa kinywaji cha bia ila naitafuta kwa matumizi mengine. Najua haistawi vema kwenye huu ukanda wetu wa Africa ila najua Kenya walishajaribu kuilima. Kama uop humu tafadhali tuwasiliane tuongee biashara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom