Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wana Jamvi!!nna Gari harrier wanaita matako ya nyani reg namba ni B nna mpango Wa kuiuza inatembea haina tatizo lolote kama kuna mteja ama unaweza kupata mteja njoo pm tuzungumze bei 13 m...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
hizi ni pikipiki za tongba ni nzuri kwa kutembelea bei ni 4.5million napatikana ubungo 0621 026 200
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kwa mwenye uhitaji wa Maza ya Pc na Kiti Chake Tsh 230000 anicheki Nipo Moshi 0767322193 or 0621359204. Serious buyers only
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Smartphones and accessories Chargers ~samsung fast chargers 12000/= ~iphone chargers (SEALED) 25000tsh Earphones ~ samsung s6 earphones 5500tsh ~earpods for iphone 5,5s,6,6s 30000tsh Glass...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza simu yangu ninayotumia, haina tatizo lolote, nimeitumia mwaka 1. Mazungumzo kidogo yapo. Ninayo makao makuu (Dodoma) nicheki piemu.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nyumba ina chumba master, jiko, sebule Bei 200,000/= kwa mwezi Maongezi zaidi au kuja kuona 0756060183
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nanunua LED TV 32" budget 330k Pesa iko mfuko wa shati.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale mafundi umeme arusha ukihitaji fundi msaidizi nipo,umeme wakuongeza pia nafanya kama unahitaji kuongeza socket,taa au kuna tatizo linalohitaji fundi piga 0624040030
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Print na Copy Kwa Bei poa na Ubora wa Hali ya juu. Tupo Msasani Jued House DocPrint Stationery Karibu ujionee Tofauti na Stationery Nyingine. 0755009950
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Autoguru garage tunakufungia Octopus alarm system kwa bei nafuu ya 120000 tu, tunakufuata popote ulipo Dar es salaam Call 0688767668 or 0715967107
0 Reactions
2 Replies
891 Views
Wakuu naitaji mtu ambae anauza azam dish na dikoda yake yenye Hali mzuri awe na risiti zake
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ni aina ya lg nchi 32, ipo katika ubora wa hali ya juu na imetumika miezi 7 tuu, bei kuanzia 420,000/= (maongezi yapo), ipo mwanza nyamagana. kwa maongezi zaidi pm tafadhali.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Apartments 6 zenye vyumba vitatu vya kulala zinapangishwa. Kila apartment ina master-bedroom moja, room 2 za kulala, kabati za ukutani za nguo, jiko, sebule,sehemu ya kulia chakula, na vibaraza...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari. Mwenye nayo simu used aina ya nokia ndogo tochi anicheki pm. Au aache namba.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mashine ya kukamulia juice ya miwa inauzwa ni ya umeme,ina roller mbili,ipo na kibanda chake kabisa,ni Tsh 2,000,000....bei inaongeleka,mashine ipo DAR ES SALAAM,SALASALA kwa mawasiliano 0693208482
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani natafuta popsicle molds nipo Moro 0652393263
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau natafuta mashine ya kunyolea ya sola kwa Dar wapi naweza pata?Nipo Moro.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ipo maeneo ya luhanga mkabala na shule ya kawawa..... Eneo lifaa kwa ujenzi wa guest house, bar ,lodge au nyumba kubwa zaidi ya kupangisha!!!!! Ni nyumba yenye eneo kubwa!!!! Na gari linafika...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari mwna JF! Tangazo ndio hilo! Ukubwa wa Kiwanja ni mita 18X20 kipo kabuku umbali wa kilometa 1 toka barabara kuu iendayo dar- tanga! bei 2. mil. (million mbili) Sipo kabuku kwa sasa hivyo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu habar zenu!! nahitaji vijana watano (watatu wakike na boys wawili) wenye uwezo wa kiushawishi na wanaojiamini (wawe serious na wasilete usaniisanii). kikubwa zaidi nawahitaji watakao andaa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom