natafuta saloon ya kike kubwa na nzuri hapa mjini,kama unaifahamu saloon yoyote kubwa na nzuri ya kike hapa Dar inayofanya hadi kupamba ma biharusi,Tafadhali unaweza kunitumia namba ya simu ya mhusika pm au kunielekeza ilipo saloon.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.