Fundi umeme
Senior Member
- Jun 17, 2016
- 116
- 24
Kama kichwa kinavyojieleza sisi ni mafundi wa umeme wa majumbani na viwandani na tunafanya kazi za umeme kwa kufunga vitu vya kisasa na original kabisa na tunatoa guarantee kwa kila kazi tunayoifanya na pia tunatoa ushauri wa masuala ya umeme bule pia tunafunga madishi aina zote kwa kutumia kifaa maalumu cha kutafutia mawimbi ya satellite cont: 0753505115 na 0715505115.