The Consult
JF-Expert Member
- Jan 20, 2017
- 220
- 252
Unataka kuanzisah Mradi au una wazo la Mradi ambalo unataka kuliendeleza? Nikuhakikishie tu kwamba kwa Miradi ya kiubunifu (Innovative Projects); ruzuku zipo kutoka kwenye Taasisi za ndani (Local Donors) na Taasisi za nje (International Donors).
Natoa huduma kwa kukupatia taarifa sahihi za ruzuku inayoendana na Mradi wako, pamoja na kukufanyia mchakato wa maombi wa hiyo ruzuku (Application Process). Na ikiwa utahitaji huduma ya usimamizi katika Mradi wako huo, nitakupatia huduma hiyo pia. Huduma zangu zitakusaidia wewe uweze kujikita katika eneo ambalo uko na ustadi nalo (Focusing on what you do the best)
Huduma yangu, haizingatii mipaka ya kijiografia au ya kisekta. Popote ulipo nitakuhudumia, hii ni kwa sababu fursa za ruzuku hutolewa katika maeneo mbalimbali (Ki-nchi na Ki-sekta). Lete wazo lako la Mradi nitali-frame bila kuathiri msingi wake ili liweze kuendana na malengo ya Mfadhili, na kulitengenezea Mchanganuo kamili kisha kulituma kabla ya muda wa mwisho "Deadline"
Nikutoe hofu juu ya gharama. UNA WAZO/MRADI ? LETE
KARIBU SANA
The Consult
Simu: +255 719 518 367
Barua Pepe: theconsult38@gmail.com
Dar es Salaam, Tanzania
Opportunities
Projects that intend to address Gender-Based Violence (Applicants: NGOs, Companies etc)
Innovation in Addressing Gender-Based Violence | Funds 4 Africa
Financial support for Entrepreneurs
https://globalinnovation.fund/apply/steps/understanding-the-application-process/