Kwa hiyo bei hiyo PC ni kawaida sana, hujamkuta kichaa tuu wewe, sasa hapo kuna bei ya ajabu hapo?punguza bei acha kutuona wajinga sisi. tumeshachoka na bei zenu za ajabu mjue
Acha maneno ya shombo hujui sisi wengine hapa ni wazazi wako wa kiume,na tunaishi kwa pensheni tu!!??) Tunataka kuwanunulia wadogo zako hii PC.acheni kulia lia, kwa specs hzo hii pc bei n kawaida sana, kama huna pesa funga domo lako kama bakuli la ushirombo
sawa mkuu nimeacha, mana wazazi wa siku hz kdg tu mnatishia kutoa laana, kwa bahat laana zenyewe hazshk.Acha maneno ya shombo hujui sisi wengine hapa ni wazazi wako wa kiume,na tunaishi kwa pensheni tu!!??) Tunataka kuwanunulia wadogo zako hii PC.
Jifunze adabu tafadhali.