Tunauza Mvinyo/wine kutoka Dodoma

Tunauza Mvinyo/wine kutoka Dodoma

Mkakari

Member
Joined
Sep 7, 2018
Posts
10
Reaction score
4
Sisi ni wajasiriamali kutoka Dodoma tuna wine yetu (semifinished)..ziko zaidi ya liter 100,000 ambazo ni pure.na tumetageti zaidi wanaofanya packing na wanywaji wengine.tunauza kuanzia liter 500...bei kwa liter moja ni 3500 mnakaribishwa..
 
Niko Dodoma kwa siku mbili kuanzia leo nahitaji dumu la Lita tano naweza kupata?
 
Back
Top Bottom