Head current
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 479
- 128
Kwa mwenye nayo aniuzie iwe mpya au used lakini bei iwe nafuu
Kwa mwenye nayo aniuzie iwe mpya au used lakini bei iwe nafuu
uwezo wangu mimi ni sh 200,000 wakuu
ni pm uje kuiona ninayo ya 200,000 fresh kwa passport size hata ukitaka printer aina ya hp photo smart hii ni special kwa photo especially passport size...naweza kukuuzia pia ninayo….