Wauzaji wa CD kwa jumla tukutane hapa

Wauzaji wa CD kwa jumla tukutane hapa

lydiah

Senior Member
Joined
Sep 2, 2015
Posts
150
Reaction score
101
Habari za majukum u wadau, katika pita pita zangu mitaani nikagundua watu wa ili eneo niliyopo wanahitaj kubwa sana wa cd za bongo movie na zilizotafsiliwa so nataka nifungue library ili iweze kusukuma siku
Ila sijui wap pa kuanzia maana nahitaj wasambazaj wa cd kwa jumla maana me nipo mkoan na nimejaribu kufanya uchunguzI kwa wale wauzaji wa kariakoo ilI nijue wap wa nachukua mzigo ila sijapata jibu.
Tafadhal mwenye uelewa na hii kitu tujuzane hapa.
 
Mtaa Wa agrey kwa nyuma wapo Kama wote CD wanauza buku jero kwa ambao sio members

Ila ukichukua kuanzia kumi wanakuuzia kwa 700
 
Mtaa Wa agrey kwa nyuma wapo Kama wote CD wanauza buku jero kwa ambao sio members

Ila ukichukua kuanzia kumi wanakuuzia kwa 700
Nataman sana kujua wale wauzaji wanazitoa wap izo cd maana na me nataka kuuza jumlaa
 
Back
Top Bottom