Ninayo ya zamani ilikaa gereji miaka Sita ilikuwa Na namba zile zamani ilikuwa Na namba za mkoa wa mbeya inaanzia MB ....Sasa nimeifufua TRA wakaipa namba inaanzia Na Namba D.... baada ya kubadilisha unaitaka?Habari ya kazi Wakuu..
Naitaji Gari ya kununua aina ya IST, RAUM, RUNX number D, offer 7,500,000/=
-Niko mbeya simu; 0758975807