Naomba kujua bei ya machungwa Dodoma.

Yuyo Ahumile Shamalendi

JF-Expert Member
Mar 10, 2018
993
782
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu naomba kujua soko la matunda aina ya machungwa kuhusu soko lenyewe mahali lilipo na bei zake kwa mfuko au jumla ni bei gani na rejareja au mojamoja ni bei gani.

Natumaini humu wapo madalali wa masoko ya Dodoma na wazoefu pia wamo naomba taarifa zenu wakuu.

Natanguliza shukurani.
 
Machungwa huku dodoma Fungu buku yanakaa kama sita hivi kama sikosei na machungwa yenyewe ni yale ukimenya unakula maganda ya ndani badala ya maji yake .

Nachomaanisha ni kwamba yaani yamekaa muda mrefu mpka maji yanakaribia kukauka.
 
Ubarikiwe mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom