Tunapenda kutoa shukurani kwa Serikali ya Awamu ya Tano kwa kuhakikisha inasimamia haki sawa kwa wote
Kuna Kontena letu lilikwama bandarini Dar kwa miezi mitano kwa makosa ambayo yalifanywa na na Shipping line HAPAG LLOYD pamoja na wakala wao wanaojulikana kwa jina la DIAMOND SHIPPING.
Waliharibu documents zetu kwa uzembe na wakaamua kutelekeza kontena bila kutatua tatizo. Hii ilipelekea sisi KC kupata hasara kubwa sana ya kulipa storage na faini nyingine zaidi ya shilingi milioni 13 na kupoteza wateja wengi ambao waliamini kua ni uzembe wetu.
Hili kontena pia ndio lilisababisha tusimamishe huduma ya kusafirisjha mizigo ya wateja wa nje na kuamua kua tunasafirisha mizigo ya KC tu.
Haya yote yametutia hasara kubwa sana ambapo wateja wengi walirudishiwa pesa zao baada ya kuchoka kusubiri makinikia
Lakini Serikali kwa kwa kupitia wakala wake TASAC walihakikisha wanasimamia haki itendendeke ambapo waliitisha mkutano kati ya KC na DIAMOND Shipping ambao walikiri makosa na HAPAG LLOYD wametulipa fidia zote stahiki ikiwa ni kuturudishia hela zetu tulizolipa storage na mengineyo.
Hii ingekua enzi zile sisi kama kampuni ndogo tungeishia kulia tu na kukandamizwa kwa sababu HAPAG LLOYD ni kampuni kubwa sana ya meli kwenye hii sayari tunayoishi.
Tunawashukuru wateja wetu kwa uvumilivu mliouonyesha kipindi chote
KAZI NI KIPIMO CHA UTU
KC TEAM....!