Poa Mkuu, nimeongeza nyama!Kwa nini usifafanue zaidi kwa kutaja mji ulipo ili uweze kupata msaada wa haraka? Kwa ujumla hizo overalls uwa zinauzwa kwenye maduka ya vifaa vya ujenzi (hardware) au yale yanayouza protective gears (vifaa vya kujihami na ajali) kama safety boots, miwani na kofia ngumu za wajenzi au mafundi wa uchomeleaji n.k.
Kwa Dar yanauzwa maeneo mengi tu ila ili usipoteze muda wako kwa kuzunguka sana nenda mitaa iliyopo Kariakoo hususani Livingstone, Swahili au mitaa mingine kuanzia barabara ya Uhuru kuekekea usawa wa Gerezani kuna maduka mengi na yenye ubora na bei tofauti. Pia kuna wale wengine ambao wanauza overalls, reflective jackets na safety gears zingine ambazo zinakuwa zimechapishwa kabisa jina au nembo ya kampuni japo gharama zao uwa zipo juu zaidi.Poa Mkuu, nimeongeza nyama!
Kwa Dar yanauzwa maeneo mengi tu ila ili usipoteze muda wako kwa kuzunguka sana nenda mitaa iliyopo Kariakoo hususani Livingstone, Swahili au mitaa mingine kuanzia barabara ya Uhuru kuekekea usawa wa Gerezani kuna maduka mengi na yenye ubora na bei tofauti. Pia kuna wale wengine ambao wanauza overalls, reflective jackets na safety gears zingine ambazo zinakuwa zimechapishwa kabisa jina au nembo ya kampuni japo gharama zao uwa zipo juu zaidi.
Yamejaa tele madukani ya kila Rangi hadi yenye reflector nenda madukani ya Ujenzi mji wowote,au dar mtaa wa Gerezani bei kuanzia elf 30 kwenda juu tegemea na ubora wake.