Wakazi wa Tabora, MK Fishmonger tumewafikia

CCNP Engineer

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
463
1,286
Ewe mkazi wa Tabora, Je unahitaji samaki wabichi kwa ajili ya chakula nyumbani..
Tupigie tukuletee mpaka mlangoni kwako.

Je una restaurant hapa Tabora mjini...
Tunapokea order ya samaki wabichi na unaletewa mpaka ofisini kwako...

Je unahitaji samaki kwa ajili ya biashara...
Tupigie tukuletee ulipo, au karibu ofisi zetu zipo mita 500 kutoka TRA kama unaelekea Kiloleni, mkabala na Amour Supermarket.

Tunao samaki aina ya Vibua Kilo 6000
Tunao Migebuka wakubwa Kilo 6500
Tunao Sato Kilo 9000

Samaki wote hawa ni Wabichi, fresh from water, unawaandaa upendavyo wewe...
Uwakaange sawa... Uwaunge sawa... Uchemshe chukuchuku sawa... Ni wewe!!



upload_2017-4-14_10-40-29.png

Tumefika Tabora
Tupigie Tukufikie

0756 367 107

Karibuni sana MK Fishmonger
 
Back
Top Bottom