Nahitaji Baiskeli ya matairi matatu

Nahitaji Baiskeli ya matairi matatu

AbouZakariya

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
1,646
Reaction score
2,403
Wadau wa jf habari za leo, wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Nahitaji baiskeli hiyo kwa ajili ya ka mradi ambako nimekabuni , tatizo sijajua kwa hapa dar zinapatikana wapi?, baiskeli hizo ni sawa na zile zinazotumiwa na vijana wa bakhresa kuuza bidhaa zake mitaani.
Tafadhali mwenye ufahamu wapi zinakouzwa au kutengezwa kwa hapa dar au nje ya dar anijuze.
Natanguliza shukran.
 
MKUU ULIZIPATA? maana mi mwenyewe nazihitaji
 
Wadau wa jf habari za leo, wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Nahitaji baiskeli hiyo kwa ajili ya ka mradi ambako nimekabuni , tatizo sijajua kwa hapa dar zinapatikana wapi?, baiskeli hizo ni sawa na zile zinazotumiwa na vijana wa bakhresa kuuza bidhaa zake mitaani.
Tafadhali mwenye ufahamu wapi zinakouzwa au kutengezwa kwa hapa dar au nje ya dar anijuze.
Natanguliza shukran.

Ni PM ninauza bajaji langu hapa.
 
Hata mimi nazitaka hizi baiskeli aisee
 
Kaeni chini na fundi pikipiki na welder, kutokea baiskeli ya kawaida,kesi zenu zitatatuliwa in shaa Allah.
 
Zaganza kama unao tufanyie mpango wa namba waokoe jahazi.
 
Kaka fanya kazi ya kanisa vile....kiroho safi.
 
Back
Top Bottom