Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta Wazo (mji mpya)

NAREI

JF-Expert Member
Mar 10, 2017
1,730
1,648
habari wana ndugu,
kiwanja kinauzwa kipo tegeta wazo (mji mpya).
N. B mji mpya ni mji wa kisasa kabisa unaojengeka kwa kasi na wenye mpangilio wa makazi ya kisasa kwa asilimia kubwa.

Distance from twiga cement industry is 3km
distance from tegeta kibo complex/Tegeta nyuki is 5km.
kiwanja kina ukubwa wa meter 80 urefu na upana meter 35 (square meter 3600)
eneo ni tambarare lote (hakuna miinuko kwenye hayo maeneo)

eneo linauzwa lote kama lilivyo pia ukihitaji utakatiwa nusu ya eneo husika (i. e meter 40 kwa 35 )
eneo lote kwa pamoja linauzwa 60m tu, ukihitaji nusu ni 30m tu.
maeneo/eneo liko surveyed tayari na lina offer pia limeshawekewa bicon.

note: utakutanishwa na mmiliki husika kwaajili ya mazungumzo zaidi kwa mhitaji.
(hakuna ubabaishaji)

only for serious clients: 0756 832833

IMG_20180813_170342.jpg
IMG_20180813_170423.jpg
IMG_20180813_170427.jpg
IMG_20180813_170432.jpg
IMG_20180813_170324.jpg
IMG_20180813_170319.jpg
 
Hiyo bei kwa ukubwa huo ni very reasonable, kama eneo halina mgogoro wowote wala deni mahali, am sure utapata mteja soon, ila hiyo uliyoiita nusu (40*35) nadhani umekosea, inapaswa kuwa 40*70.
Hiyo uliyoandika ni Robo, ambayo inapaswa kuwa 15m kwa utaratibu huo!!
Kila la heri mkuu!
 
yes, ukigawa nusu inakuwa ni 40*35.
 
Ukiona mtu kajenga inabidi umheshimu.
Bei ya hiko kiwanja unanunua Vitz 12 mkononi.

Nahisi hadi baadhi yetu kuja kujielewa tutakuta watu wamejaza apts tu tutakua hatuna sehemu ya kununua na kujenga.
 
Ukiona mtu kajenga inabidi umheshimu.
Bei ya hiko kiwanja unanunua Vitz 12 mkononi.

Nahisi hadi baadhi yetu kuja kujielewa tutakuta watu wamejaza apts tu tutakua hatuna sehemu ya kununua na kujenga.
vitz ukinunua leo 5m after two years of depreciation unakuja kuiuza kwa 3.5m au 3m ila land after two years kama ulinunua 5m huwezi uza chini ya 8m.
kujenga tutajenga ila inategemea unataka kujenga wapi.
 
Hoja yangu ilikua "Ujenzi ni gharama"

Hata hivyo inamaanisha kua atakayenunua hiki kiwanja leo baada ya miaka miwili thamani yake itakua zaidi ya vitz 12 mkononi.
 
Hoja yangu ilikua "Ujenzi ni gharama"

Hata hivyo inamaanisha kua atakayenunua hiki kiwanja leo baada ya miaka miwili thamani yake itakua zaidi ya vitz 12 mkononi.
binafsi gharama ya ujenzi haiko juu sana kama gharama za viwanja (kwa baadhi ya maeneo) chanika ukiwa na 40m unanunua kiwanja, unajenga na unahamia na familia wakati sehemu zingine hiyo 40m hata kiwanja unaweza usipate
 
Maeneo ya huko tatizo ni migogoro tu km kipo clean 60m utapata mteja kwa huo ukubwa wake
kama kuna mgogoro sidhan kama watu wagefikia hatua ya kujenga majumba ya kifahari/gharama.
 
KIWANJA kizuri kipo tambarare chote.
kina ukubwa wa square meter 1200
tegeta wazo (mji mpya)
tittle deed ownership
kina msingi imara tayari kwa ujenzi.
offer : 50m (negotiable)
IMG_20180820_131409.jpg
IMG_20180820_131424.jpg
IMG_20180820_131405.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom