BNY SERVICES.
Wanatoa huduma ya private tuition kwa wanafunzi na wasiokuwa wanafunzi katika mambo muhimu yafuatayo:
1)Wanafundisha wanafunzi wa O-level kwa masomo ya mathematics,physics,chemistry...
Habari wadau
Mwenye kufahamu mashamba ya kukodi yaliyopo pembezoni na mto ruvu naomba Masada.
Hata kma unanamba ya dalali maeneo hayo itakuwa umenisaidia.
Sory kwa kuchanganya mada wadau kuna mtu yyt humu ndani na anaepatikana jijini dar es salaam anaejua wapi naweza kupata nyumba ya kupanga
Vigezo
Vyumba 2+
Viwe na tiles
Sebule kubwa
Mwenye...
nzuri kwa ajili ya kijana anaeza elimu yake ya juu,pia kwa matumizi binafsi
bei poa sana
specs.
hdd 250gb
ram 2gb
processor 1.7ghz
kwa picha na maelezo zaidi
0765158387
dar es salaam-temeke...
Nauza photocopy machines mpya. Zinatoa copy na kuprint. Zipo zinazotoa karatasi 16 . 22 . 28 . 30 kwa dakika 1. Bei ni 1.5million . Nipo kariakoo. Mtaa wa agrey .nichek whats app kwa 0689800817...
Habari wanajamii forum?
Kwa wale wenye ndoto za kuchapa vitabu vyao, sasa wakati umefika. Jipatie huduma ya kuchapiwa vitabu vyako kuanzia 50 na kuendelea kwa bei ya nzuri.
Kitabu chenye kurasa...
Nauza health fitness tracker kwaajili ya afya, mazoezi na notifications. Kazi zake:
-Inapima mapigo ya Moyo.
-Inapima pressure ya damu.
-Inapima kiwango cha Oxygen katika damu.
-Inahesabu hatua...
Wekeza pesa kidogo kuzailiza mtaji mkubwa wa mamilioni ya pesa haiitaji kushilikisha mtu unaandaa mtaji wako mdogo ambapo baada ya miezi minne pesa yako ya mtaji inaludi na unabaki kula faida...
Habarini wana JF naombeni msaada kwa mtu yoyote anaejua kampuni au taasisi ya mikopo yenye riba nzuri anisadie... Au makampuni ya kuingia nao mkataba wakanirejebishia nyumba za kupangisha Ni...
habari wana ndugu,
kiwanja kinauzwa kipo tegeta wazo (mji mpya).
N. B mji mpya ni mji wa kisasa kabisa unaojengeka kwa kasi na wenye mpangilio wa makazi ya kisasa kwa asilimia kubwa.
Distance...
Wadau wa jf habari za leo, wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Nahitaji baiskeli hiyo kwa ajili ya ka mradi ambako nimekabuni , tatizo sijajua kwa hapa dar zinapatikana wapi?, baiskeli...
Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Dege Kigamboni, eneo lipo jirani na mradi mkubwa wa ujenzi wa Dege Eco Village. Kiwanja kipo eneo zuri na kimezungukwa na miundombinu muhimu yote ikiwemo umeme...