Wakuu habari za majukumu,
Napangisha Nyumba yangu. Hii ni mara ya pili naleta hili tangazo. Ila kuna baadhi ya vitu vimeboreka.
Sifa za Nyumba
-Vyumba vya kulala vitatu, kimoja master
Dinning...
Tunakopesha mitambo ya Zola kwa ajili ya matumizi ya nyumbani mtambo mdogo wa taa kuanzia shilingi elfu 49 kianzio na kwa mwezi elfu 19 tupigie simu sasa popote ulipo unaletewa 06546-09122
Habari za Jioni Wakuu, Ni Matumaini Mpo Salama na Mnaendelea Vizuri na Pirika zenu za Kila siku. Nna Hitaji Mtu wa kuniuzia (supplier) wa mayai ya kuku wa Kisasa Kuanzia Trays 50 na Kuendelea...
Kutokana na Tanzania yetu kuwa kimataifa zaidi kwa kila kitu, mahitaji ya LUGHA YA KIJERUMAN mahitajio ya LUGHA hii ya kigeni pia imehitajika kufikia malengo yetu.
Mfano wa mahitajio ni
KIUTALII...
Naomba msaada nani anayejua ku unlock simu za kutoka u.s.a zipate kufanya kazi huku Tanzania. Maana nina simu zangu kama 2 za kutoka huko nashindwa kuzitumia huku.!
Ahsante!!
Kwa wale wafanyabiashara ya mapazia tunapenda kuwataarifu kuwa tunauza kwa jumla na rejareja mapazia ya kisasa kabisa toka uturuki..tunayo majora (bales) za ukubwa tofauti nyepesi na nzito..pia...
Ina miezi sita tangia inunuliwe
Haina scrach
Ina rist zake
Ina headphone zake hazjatumika
Ina box lake
Bei 230,000/=
Mawasiliano
0674914474
Dar!
KARIBUNI
Jamani nahitaji watu wenyeji wasumbawanga ,,, kuna ishu nataka kuja kufanya huko so nahitaji mwenyeji ...
Please kwa ambae yupo huko na anaweza kunipa host
Nicheki pm.
Hodii wakubwa zangu,,mm ni mgeni hum ndani ya mjengo,,nitangulize samahani,,naomba mwenye uelewa na bei za cherehan za umeme pa1 na za kawaida anisaidie,,nitashukuru xana endpo nitapata msaada
Nyumba nzuri sana. Ina vyumba vitatu vya kulala, vitatu. Vyumba viwili Master bedroom, Sebule kubwa na dining room, Jiko na stoo.
Ukubwa wa kiwanja ni mita 25 * 20. Hivyo kuna eneo kubwa mbele...
salaam, wana jukwaa!
viwanja vilivyopimwa na serikali vinapatikana ndani ya mwanagati, kitunda (wilaya ya ilala).
viwanja vipo viwili na vyote vina hati miliki (title deed) ya eneo husika...
Natafuta samaki wabichi (ambao watakuwa wamegandishwa kwa export) wa aina zote, lakini hasa tilapia, kutoka Tanzania. Kiasi kikubwa cha samaki kinahitajika kwa muda mrefu na wa kudumu. Wale ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.