Bei: 6mil.(million sita) maongezi yapo kidogo sana.
Full Ac
Full document
Full vibali
Gari haijawah kupata ajali wala haijawah kupigwa rangi.
Call +255 693-204813
+255 757-482042
+255 717-671240
NI TV KALI SANA FULL HD VIDEO INAMUONEKANO MZURI,INAONESHA PICHA MNG'ARO WA HALI YA JUU INA PORT ZOTE HDMI, USB, MMC, VGA, AV etc,
Tunauza kwa promotion kwa bei nafuu 650000, baada ya 30 itapanda...
Habari za leo wanajukwaa?. Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Buguruni, kuanzia Buguruni sheli, Rozana, Malapa, hadi Msaada Gereji. Bajeti yangu ni 30,000/= nyumba uwe na maji na umeme...
Wanajamvi ninaomba niwashirikishe wale mlio na uzoefu wa maisha katika wilaya tajwa mnisaidie kunishauri wapi naweza pata chumba cha kupanga hata kimoja pakiwa na ustaarabu kwa maana ya mitaa...
These are Big Washing Machine suit For Hotel use or even Commercial Laundry also for Children Boarding Schools. Even for Home use.
mashine hizi ni kubwa, zinafaa kwa mahotelini hata kwa ufuaji wa...
Bei maelewano.
Mwaka.1994
Engine cc 1938
4 cylinder
full ac
Haidaiwi.+ full vibari.
Engine mpya.
Gear box ziko poa san
With no problem
Can watsap or call 0713099309
Bei 2.5
Shamba linauzwa lipo Kimazichana Mkoa wa Pwani- kijiji cha Nyanduturu lukubwa wa hekari 9 limepandwa miche ya minanasi zaidi ya elfu ishirini(20,000).
Minanasi bado michanga itaanza kuvunwa msimu...
Habar ya jumatatu.naomba kuunganishwa na mkulima wa pilipili zile ndefu zinazopendwa na wahindi sio pilpil mbuzi mi niko dsm popote nitafuata.0657536080.nimeshindwa kuweka sample pic
Wadau wa Scooting,kwa sasa tuna vifaa kwa ajili ya scooting(hoverboard),hivi vinaweza kutumika kwa ajili ya watoto na watu wazima pia.
Vifaa hivi vina ubora wa hali ya juu na bei zetu ni karibu na...
Habari wapendwa..
Euro Delicious food services tunauza Pilipili za kunukia halmarufu kama HABANERO zina harufu San na nikubwa hutojuta kuwa mteja wetu..
Tunauza kuanzia kilo hadi ndoo kubwa...
Habari Wadau.
Nilikua natafuta nyumba maeneo ya mbezi beach ya chini.
Requirements:
- vyumba 2, sebule, jiko kubwa.
- car parking
-Fanced
-barabara ambayo hata gari ya chini kabsaa inaweza...
PAGALE LINAUZWA CHANG'OMBE EXTENSION
1.Pagale liko chang'ombe extension(mahali palipojengeka kisasa na sio chang'ombe uswahilini kule)
2.Kiwanja chake kina ukubwa wa 540 SQM
3.Kiwanja kimepimwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.