Natafuta incubator

Natafuta incubator

deki

Member
Joined
Sep 6, 2018
Posts
72
Reaction score
56
Nahitaji incubator ya kuchukua mayai 1500 au zaidi ya kichina,yakutumia sola na umeme wa tanesco,naombeni nisaidiwe wap nitapata,na kwa bei yake ikoje ,nipo mkoani,wafanyabiashara wababaishaji siwahitaji asanten
 
Unapata tunazo zinatumia umeme
Za mayai 350, 720, 1720, 3000 etc
 
Nahitaji incubator ya kuchukua mayai 1500 au zaidi ya kichina,yakutumia sola na umeme wa tanesco,naombeni nisaidiwe wap nitapata,na kwa bei yake ikoje ,nipo mkoani,wafanyabiashara wababaishaji siwahitaji asanten
Chukua friji bovu tia mayai vifaranga vinaibuka vyenyewe
 
Uwezo mdogo wa kufikir,kama hujui nyamaza,acha ushamba dogo,kesho utalilia ajira kwangu
 
Back
Top Bottom