INAUZWA Kitanda cha mninga-140,000/=

Tenderness

Member
Nov 28, 2015
29
18
Wakuu, bidhaa tajwa inauzwa hapo juu

Size= 5 * 6

Ni cha mbao (Mninga)

Sababu za kuuza= Shida za dunia
20180414_105819.jpg
20180414_105808.jpg
20180414_105746.jpg

Bei 140,000/= Negotiable

Location; Mbezi Africana

Contacts; 0767819499
 
Duuuh! pole sana mkuu kwakukumbwa na shida hiyo inayopelekea kuuza kitanda kizuri hivyo tena kilichotengenezwa kwa mbao nzuri na imara kabisa.Ngoja waje wadau wakutatulie shida yako kwakukinunua,ila nakushauri ukope tu hiyo pesa kuliko kukiuza hicho kitanda.
 
Mkuu Asante kwa wazo lako, ila sasa sisi wengine kukopa tunaogopa masimango na kunyoosheana vidole Ndugu yangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom