Mayai ya kuku wa nyama broiler yanahitajika

Mayai ya kuku wa nyama broiler yanahitajika

deki

Member
Joined
Sep 6, 2018
Posts
72
Reaction score
56
Wapendwa,naombeni kujua wapi naweza pata mayai ya kuku hawa wanyama,yenye uhakika na kutotolewa pia gharama kwa trey,na mkoa yalipo naomba kuwasilisha asanteni
 
Wapendwa,naombeni kujua wapi naweza pata mayai ya kuku hawa wanyama,yenye uhakika na kutotolewa pia gharama kwa trey,na mkoa yalipo naomba kuwasilisha asanteni
Kupata yai la broiler ni ishu sio kitoto sababu parents stock wa broiler wanamoliliwa na makampuni ya utotoleshaji na ni biashara ya vifaranga tuu na sio mayai mkuu, kumlinda huyo parent stock nayo ni habari ingine kabisa hulelewa zaidi ya mtoto, hivyo ndio maana Kupata mayai ya pure broiler kwa mtu wa kawaida sio rahisi kwa hapa tz.
 
Mimi nataka mayai nataka fanya biashara ya kuuza vifaranga kulea sio shida
 
Back
Top Bottom