Gari carina iko sokoni

Gari carina iko sokoni

kizotamagari

Member
Joined
Aug 29, 2018
Posts
37
Reaction score
5
Jipatie gari kwa bei cheee gari Imenyooka full vibali full AC bei.... Mil4500000
Contar.... 0657712875
IMG-20180926-WA0013.jpg
IMG-20180926-WA0015.jpg
IMG-20180926-WA0014.jpg
IMG-20180926-WA0016.jpg
IMG-20180926-WA0017.jpg
 
Nimeona comments za wengi humu ndani ziemea kwa namba. Hicho sio kigezo cha ubora wa gari. Kuna gari za wahindi pale Upanga na Oysterbay ni namba A ila hata Kibaha maili moja hazijafika. Ila pia kuna gari utapata ni DLN ila zimeburutwa kona zote za Tz. na Mileage imesoma kuliko hizo A. Mimi gari huwa naamini katika ubora wake/uzima then namba zifuate.
So if can't say something nice then at least be silent.
 
Owk and u at least be silent all right
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom