Sandwich day

Sandwich day

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,538
Reaction score
8,269
Hii si ya kukosa. Ni tar 03 Nov 2018 yaani jumamosi. Kutakua na offer kabambe kwa wale wapenda sandwiches ukitembelea mgahawa wa SUBWAY. Siku hiyo kutakua na offer ya double the feel good. Yaani ukinunua sandwich 6" pamoja na soda moja, unapewa sandwich nyingine 6". Au ukinunua sandwich 12" pamoja na soda moja, unapewa sandwich nyingine 12".

Kwa watakao kuwa busy siku hiyo na hawataweza kufika kwenye mgahawa wowote wa subway na wapo maeneo ya
Sinza
Mwenge
Makumbusho
Mikocheni
Ubungo
Wanaweza wakatoa order zao kwa kupiga simu namba 0759782930 kwaajili ya kufanyiwa delivery. Delivery fee kwa maeneo tajwa hapo juu ni sh 1000 tu.

Pia hata kama upo nje ya hayo maeneo tajwa hapo juu, unaweza ku order na ukaletewa. Ila delivery fee inakua tofauti kulingana na umbali.

Karibuni sana. Waambie wenzako wawaambie wenzako kuwa hii si ya kukosa
20181029_140642.jpeg
 
undefinedmkuu hizo pikipiki za sandwitch zina ubora kweli,mbona wanagawa kama bure,utumiaji wake mafuta ukoje vile,maana hii ofa si mchezo,pikipiki 6 & bure
Mkuu umeisoma mada na kuielewa? wapi wamesema wanagawa Pikipiki bure?!
 
undefinedmkuu hizo pikipiki za sandwitch zina ubora kweli,mbona wanagawa kama bure,utumiaji wake mafuta ukoje vile,maana hii ofa si mchezo,pikipiki 6 & bure
Hujaelewa.

Ngoja nikuelewe..

Akisema sandwich 6’

Maana yake ni sandwich mkate wa inch 6.. na akisema sandwich 12’ maan yake ni mkate mmoja wenye inch 12.

Na wala sio sandwich 12.

Mikate ipo mweupe na brown au italian, honey oat etc.

Mleta mada kaleta bandiko lake as if kila ntu anajua.

Sio kila mtz anazifaham sandwich vizuri.

Japo watz sio walaji kwenye restaurants kwa sana, hawajui vyakula vizuri.
 
Marketing strategy to sell more, but chef of the day knows the secret of the contents on the offer sandwich.

Sometimes the offer products you get for free you have indirectly already paid for them in the products you paid for.
 
Faida ya siku hiyo, inapelekwa CCBRT. Nitwmalizia post yangu baadaye ili ieleweke vizuri
 
Back
Top Bottom