Nyumba inahitajika Dodoma

Nyumba inahitajika Dodoma

concordile 101

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
6,999
Reaction score
15,466
Natafuta nyumba ya vyumba viwili na sebule. Choo cha kujitegemea.
Yenye tiles. Iwe eneo ningependelea ilazo, kisasa au nkungu. Kama sio basi iwe hata nje ya mji ila sio uswahilini.
Nyumba shart iwe na maji.
Bei isizidi 160000 kwa mwezi.
Kwa mawasiliano 0713263659 au watsapp tu 0657571168
 
Kwa bei hiyo kupata nyumba nzima Dodoma ni mtihani kama chumba kimoja kinafika mpaka elfu 60. Jitadidi kila mtu na bahati yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom