BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 921
- 2,246
Mimi nina biashara ya duka
Na mostly hua napenda kusikiliza mawazo ya wateja na kuyafanyia kazi
Walihitaji voda vocha za kurusha...nkafanya research na nkawaletea
Walihitaji pia sigara....nkaleta pia baada ya kupitia faida
Pia ukijumlisha na vinywaji vingi sana...!!mpk huduma ya kusajili laini nmewaletea
Kila mwezi hua nnafikiria biashara mpya ya kuileta lengo likiwa ni kuteka maduka mengine maana maduka yapo ma3
Sasa mwezi huu nimepanga kuanza kuuza bia...just naomba msaada wenu kwenye kujua yafuatayo;
1.Bei zake....tukianza hasa na hizi kilimanjaro....safari...serengeti na balimi
2.Kreti kwa jumla linauzwaje...na kila kreti lina faida kiasi gn??
3.Kiukweli sina mpango wa kukopesha bia kama nsivokopesha bidhaa zngne...je ni sawa kwa bia nkifanya hvyo??
4.changamoto ni zipi??
Naombeni maoni yenu na ushauri pia...!!