Tunafanya kazi zifuatazo....Audit (Ukaguzi), accounting(uhasibu/mahesabu), tax advice (kodi), management, information technology and human resource consulting, Financial advisory services...
Bei ni laki 8 ( laki nane) kwa mwezi maongezi yapo na malipo niya miezi 6 ( miezi sita)
Nyumba inavyumba v3 vya kulala
Chumba kimoja ni master ( master bedroom)
Ina sebule kubwa ( sitting room)...
Tunahitaji t-shirts: tuwasiliane kwa maelezo zaid kama unazo au una mtu unamfaham anaweza kutusaidia kuzipata. Njoo ukiwa na dondoo zifuatazo:
1. Bei kwa tshirt
2. Hizi bei ni printed au not...
Nauza Shamba. Heka TATU . Lipo Mlandizi kwa Dosa njia ya kwenda Ruvu jeshini, barabara ya kwenda Bagamoyo. Heka Tshs 4,500,000. kilometer TANOkutoka Mlandizi kituoni
Serious buyer njoo inbox
Bei ni milioni 15 ( milioni kumi na tano) maongezi yapo kidogo sana
Kiwanja kipo Mkoa wa Dar es salaam Tanzania maeneo ya BUNJU B kwa mpemba umbali kutoka lami kuu ya bagamoyo load mpaka kufika...
Bei ni laki 4 ( laki nne) kwa mwezi na ilipwe miezi 6 ( miezi sita)
APPARNTMENT hiyo inavyumba v2 vya kulala vikubwa
Chumba kimoja ni master ( master bedrooms)
Ina sebule kubwa nzuli nayakisasa...
Mara nyingi katika biashara huwa unajikuta unakwama kwa sababu mbalimbali.
Sababu kubwa ikiwa ni kutokuwa na taarifa sahihi kwa wakati sahihi.
Je unajua kwamba tunaweza kukufanyia Free business...
Inauzwa shilingi laki na sabini..maeneo ya kinondoni Biafra..haina tatzo lolote kwa mawasiliano...n PM au 0659563178
Sent using Jamii Forums mobile app
ninakiasi cha kati ya laki moja na nusu mpaka laki mbili na nusu nahitaji simu yenye ram above 2gb au 2gb ila iwe na condoition nzuri
sumsung tecno nokia au uawei nipe jina la simu na bei yake...
Haya kwa wale wasiopenda vyakula vya mafuta nauza Halogen oven ya kuchomea kuku samaki chips kwa kutumia kijiko kimoja tu cha mafuta waweza kubake cake kukaanga popcon kukaanga karanga nk Hii...
Wakuu nauza Ps3 yenye ukubwa wa hard disk 320 GB na iliyo na michezo 10 ndani yake. Utapewa na pad 1.
Bei ni 370,000 tu.
Napatikana Usa River, Arusha.
Nitafute 0624560971
MARAFIKI ZANGU HAMJAMBO?
GOOD NEWS KWA WALE AKINA DADA NA AKINA MAMA
Nina biashara ya mabegi, Mapochi na dawa ya kukuza nywele na kucha za mwilini kwa jina hili (Biotin 500Mcg) Mali toka nchini...
Natafuta Zircon yenye rangi ya Petrol.....
Nanunua kwa Kilo....kama unayo njoo in box au nitumie picha kwa Whatsapp na Bei yako!
Whatsapp +255714417641
NB:
Picha iwe Clear, shika piece kadhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.