kichuminyi
JF-Expert Member
- Mar 4, 2014
- 234
- 173
Natafuta mizani ya kupima uzito wa mwanadamu. Inauzwa wapi? Kwa anayejua naomba nijulishe. Asante
Nipo dar, mtoni kwa azziy Allyupo wapi ?
Nenda kariakoo soko kuuNatafuta mizani ya kupima uzito wa mwanadamu. Inauzwa wapi? Kwa anayejua naomba nijulishe. Asante
Nenda soko kuu kariakooNami natafuta mzani.