Nahitaji mashine ya miwa

Nahitaji mashine ya miwa

Ya umeme unakodisha kwa ngapi? Na manual kwa ngapi, labda tuanzie hapo nijipime. Mimi ndio naanza hyo biashara, Nipe michanganuo kwa zote hzo aina mbili tuone
 
Back
Top Bottom