MuuzaStudyMaterials
JF-Expert Member
- Aug 15, 2018
- 408
- 454
Duka gani mkuuNenda mlimani city kama uko Dar
Nenda kkoo gerezani, kuna duka la jumla la vitu vya stationary huwezi kosa hapo
Mlimani bei zao zitakua juu, nenda kkooDuka gani mkuu
Ya aina hii kariakoo sijaona, kuna aina nyingineMlimani bei zao zitakua juu, nenda kkoo
Hujatafuta vizuri , kuna jamaa pale ana stationary kubwa sana anauza vifaa vyote vya stationary kwa jumla na reja reja labda kama amehamaYa aina hii kariakoo sijaona, kuna aina nyingine
Hujatafuta vizuri , kuna jamaa pale ana stationary kubwa sana anauza vifaa vyote vya stationary kwa jumla na reja reja labda kama amehama
Ngoja nikajaribu kesho....nenda game mliman city.. wanauza hizo elfu 70
Hapana ndg, bei sifahamNgoja nikajaribu kesho....vp bei unafahamu?
Usijali mkuu, nashukuru sana kwa sapoti yakoHapana ndg, bei sifaham