Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,587
- 14,356
Habari nahitaji kitanda kipya au kilichotumika kidogo in less than one year, namaanisha used but like new. Kiwe cha chuma au mbao. Only 5/6 ( kiwe tano kwa sita)
Bajeti yangu haizidi 120,000. ukiwa Mbeya itapendeza zaidi.
Weka comment yako hapa hapa nikupe mawasiliano.
Bajeti yangu haizidi 120,000. ukiwa Mbeya itapendeza zaidi.
Weka comment yako hapa hapa nikupe mawasiliano.