Nina mahindi safi ya njano tani 29, natafuta mnunuzi mwenye bei nzuri.
Kwa mwenye kuyaitaji tafadhali tuwasiliane kwa namba 0758 - 25 36 02 au 0625 - 22 80 30.
Nipo mkoa waruvuma. naweza...
Kiwanja kinauzwa maeneo ya kibaha mail moja. Kipo 2km kutoka barabara kuu.
Ni squre meter 900. Kimepimwa.
Hi haina dalali. Mwenye kuhitaji karibu inbox. Au piga no. 0764235497.
Mimi ni kijana umri miaka 33 ni dereva mwenye leseni daraja c kavu nimesoma NIT na nifundi magari makenika level 1 nimesoma veta ninao ujuzi wa kutosha kwenye ufundi na udereva niko tayari kufanya...
Kuna kijana (male) anatafuta kazi. Anajua kupika vyakula vyote. Pia anajua kazi za saloon ya kike na kiume. Anahitaji kazi seriously. Kwa mwenye nayo naomba awasiliane nami 0783-489542
Kiwanja kipo ununio kilimo kwanza, mtaa wa pili kutoka lami
Size plot 1200 sqm
Pamepimwa na pana hati
Bei 120m
Bei inamaongezi kidogo
Mawasiliano na maelezo zaidi ongea nami kwa
0756060183
Bei ni milioni 55 ( milioni hamsini na tano maongezi yapo kidogo sana
Kiwanja kipo sehemu nzuli sana
Kiwanja hakina bonde hata moja
Umeme na maji tayali vimeshafika
Kiwanja kipo Mkoa wa Dar es...
salaam,
Chumba ambacho ni self contained Kinapangishwa katika eneo la ubungo (nyuma ya ubungo Plaza)
Chumba ni cha kisasa kabisa, kikiwa na gypsum board, tiles, slides Windows pamoja na washroom...
Habari zaleo!
Nauza tablet aina ya SAMSUNG TAB 10.1 NA TAB 8.9
bei nafuu Tsh 170000
hazina matatizo lakini ni used yan zimetumika.
kwamawasiliano zaidi ntafute kupitia whatsapp namba...
Leo nakuletea bidhaa nzuri kabisa yenye kuifanya ngozi yako kuwa yenye afya[emoji119][emoji108] na imara zaidi [emoji123] sio nyengine bali ni "NOVAGE" ambayo ukiitumia inavyotakiwa basi utakuwa...
Mimi ni kijana umri miaka 33 ni dereva mwenye leseni daraja c kavu nimesoma NIT na nifundi magari makenika level 1 nimesoma veta ninao ujuzi wa kutosha kwenye ufundi na udereva niko tayari kufanya...
SAMSUNG S6 EDGE PLUS ......
Ram 4GB
Internal Memory 32GB
Displacy Inch 5.7
Used for 4weeks
Its Gold
4G support
Haina tatizo lolote
Ni mpya kabisaaaaaa
600k-500k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.