Pitia jukwaa la matangazo kuna thread za vyumba na nyumba za kupanga.Habar wakuu.
Nahitaji chumba cha kupanga kwa hapa dar es salaamu single ef 30 kama ni self ef 50 poa
Njoo Mbagala ,maji matitu uenda utapataHabari wakuu,
Nahitaji chumba cha kupanga kwa hapa Dar es Salaamu single ef 30 kama ni self ef 50 poa.
Taja bei mkuuMe ninacho ubungo msewe
Kodi ya miezi miwili unapokea? Umeme, maji vipo?