Nahitaji suit ya kukodi

Nahitaji suit ya kukodi

mnangagwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2017
Posts
1,007
Reaction score
1,510
Hbr wananzengo,nimealikwa ktk harusi ya swahiba wangu inayotarajiwa kufanyika mwezi ujao ila vazi siku hiyo ni western suit.naomba mnijuze ni wapi nitapata western suit ya kukodi na itagharimu kiasi gani?
 
Mkuu yakwangu nilivaaa kwenye graduation tuu bado iko vuzuri
 
ha ha ha ha h unakodi ili kumfurahisha nani?jikubali tu jinsi ulivyo,ndio maisha yalivyo.
 
ha ha ha ha h unakodi ili kumfurahisha nani?jikubali tu jinsi ulivyo,ndio maisha yalivyo.
Kanunu Koti mtumbani 20000
Suluari mtumba 10000
Na shati 6000
Tai 3000
Jumla 39000
Hii utatunza na siku nyingine ikihitajika utatinga
 
Kiuno 38 bado huna hela unataka kukodi suti!!!!!!!!!!!!???,,,,,?????

Back
Top Bottom