Kama kichwa kinavojieleza kwa wale mafundi, mbao au ujenzi. Kama kuna yoyote anayeweza kunisaidia hiyo epoxy itakuwa vizuri, nahitaji kidogo Sana kama nusu lita. Kuna project nataka kufanya. Nimeshapita kariakoo gerezani hawauzi Kwa hizo Lita ndogo
Msaada wenu
Msaada wenu