Private-eye
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,069
- 1,211
Wajasiriamali...nawasalimu.
Natafta biashara/mradi unaouzwa. Ninamaanisha biashara au mradi unaoendelea ila unauzwa kwa sababu yoyote isipokuwa za msuguano wa kikodi na serikali.
Biashara au miradi itakayopewa kipaumbele ni kilimo na ufugaji, mgahawa, pharmacy, na usafirishaji. Hata hvyo...biashara au mradi mwingine wowote utapimwa kwa ubora wake.
Mradi au biashara iwe katika mkoa wa DSM na pwani. Kwa upande wa kilimo...eneo lisizidi heka kumi wala kupungua heka 3.
Bei ni maelewano kulingana na biashara au project husika. Tafadhali zingatia iwe ni kitu active na si cha kuanzisha...vigezo na masharti mengine pia vitahusika.
Karibu inbox kwa majadiliano zaidi.