Biashara ya nazi kwa jumla

Biashara ya nazi kwa jumla

babuali farm

Member
Joined
Mar 7, 2018
Posts
9
Reaction score
5
TUNAUZA NAZI KWA BEI YA JUMLA
NAZI KUTOKA KUSINI (LINDI & MTWARA) NAZI BORA ZILIZOKOMAA VIZURI
TUNAPOKEA ODA KUANZIA NAZI 250
UKIAGIZA NAZI KUANZIA 1000 TUNAKUSAIDIA KULIPA USHURU.
NB: TANGAZO LIMEANDIKWA TAREHE 23/3/2018 BEI YA NAZI INABADILIKA KUTOKANA NA WAKATI.
NAMBA ZA SIMU: 0622587113 AU INSTAGRAM #babuali_coconut_farm FACEBOOK [HASHTAG]#Babuali[/HASHTAG] farm
Email : babualifarm@gmail.com
IMG-20180319-WA0013.jpg
IMG-20180319-WA0018.jpg
 

Attachments

  • IMG-20180319-WA0019.jpg
    IMG-20180319-WA0019.jpg
    73.9 KB · Views: 144
  • IMG-20180416-WA0002.jpg
    IMG-20180416-WA0002.jpg
    78.8 KB · Views: 124
  • IMG-20180417-WA0024.jpg
    IMG-20180417-WA0024.jpg
    104.5 KB · Views: 138
  • IMG-20180325-WA0006.jpg
    IMG-20180325-WA0006.jpg
    68.1 KB · Views: 133
Mbona unarangua Mzee?, Nazi sasahivi bei ya shamba ni tsh.200/= hadi tsh.250/=.
 
Huyu bila shaka ni dalali hiyo sio bei ya shamba....
Nyie huwa mnauza bei gani shambani? Nipeni namba zenu mimi yangu 0622587113 nipo tayari kununua kwenu kama mnapatikana kusini lindi na bei yenu kama 250 nipo tayari kununua hata nazi elfu50,msilinganishe nazi ya tanga,mombasa,bagamoyo,mafia na nazi kutoka kusini
 
450 Ushuhuru juu yenu, Nazi 1,000 za majaribio...
Dar.
 
mm nahitaji nazi 8000 mpaka 10000 ila jee zitanicost vipi na nipo zanzibar ila kama nitapata bei nzuri na kujua garama nitanunua
 
Back
Top Bottom