Karibu.Duuuh I wish ningekua na hela
Bado IPO wajameniNauza cherehani iliyo na uwezo wa kudarizi, kushona maturubai INA aina 18 za ushonaji. Inatumia umeme.Naiuza kwa Tshs 400,000/= maelewano yapiView attachment 920175
Inatumia umeme peke yake? Yaani haina ringi la kuweka mkanda ikawa manual? Na ni aina gani?
Hapo kwenye pungufu inabidi tuonane inbox.Mkuu pungufu bei gani!? Na upo WAP?