Hii Bidhaa nitaipata wapi?

Hii Bidhaa nitaipata wapi?

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
47,776
Reaction score
257,652
Msaada tafadhali
Aina hii ya glycerin naweza kuipata duka gani kwa Dar es salaam?

IMG_20181112_183220_860.jpg
 
Samahani nilisoma ulizo lako juu juu. Sifahamu duka kwa hapo Dar ila nimekuwekea link unawe kuagiza online. Ila kwa ushauri mwingine unaweza tafuta Rose water na glycerine ya brand nyingine nafikiri itafanya kazi sawa na hiyo. Asante.
 
Asante sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom