Fursa kwa Asasi za Kiraia, Kampuni na Vijana Wenye Mawazo ya Kimaendeleo

The Consult

JF-Expert Member
Jan 20, 2017
220
252
BYP100_Black_Lives_Matter_Civil_Rights_.jpg_Police_Brutality__850_593.jpg

Maendeleo ya jamii katika nyanja mbalimbali huletwa kwa ushirikiano baina ya wadau mbalimbali. Miongoni mwa wadau hao ni ;Serikali, Asasi za kiraia, Kampuni za kibiashara, Mtu mmoja mmoja n.k. Ili wadau hawa (hususani; Asasi za kiraia n.k) waweze ku "play their part effectively " katika kuleta maendeleo hayo, wanapaswa kuwezeshwa kifedha. Fedha za kuwezesha Taasisi hizi katika kutekeleza majukumu yao hutolewa na wadau mbalimbali wa maendeleo kama ruzuku. Miongoni mwa wadau hao ni hawa wafutao; ambao wametoa mialiko kwa Asasi za kiraia n.k kuomba fedha hizo "Call for Proposals"

Hivyo basi; wewe kama Asasi au mtu unayejitegemea (Individual) huna budi kuzifanyia kazi taarifa hizi kwa ustawi wa Taasisi yako na jamii ya ki-Tanzania kiujumla.
  1. MIRADI KWA AJILI YA KUWAWEZESHA WANAWAKE (Women empowerment in democracy, governance and rights) : Search Grants | GRANTS.GOV
Dondoo za ruzuku

- Mtoaji fedha ; Tanzania USAID - Tanzania
-Walengwa : Asasi za kiraia
-Jumla ya Kiasi cha fedha kitakachotolewa : Dola za kimarekani 4,000,000
-Mwisho wa kutuma maombi; 23 Nov 2018

2. GLOBAL FUND FOR WOMEN : Global Fund for Women’s: CALL FOR PROPOSALS GRANTS OPPORTUNITIES TO SUPPORT WOMEN AND GIRLS

Dondoo za ruzuku

-Mtoaji wa fedha : Global Fund for Women
-Aina za ruzuku: fedha kwa ajili ya "general support" na fedha kwa ajili ya "event organization"

3. AFRICA YOUTH ENERGY INNOVATOR PROGRAM 2019 : Funding Opportunities: Applications Open for 2019 African Youth Energy Innovator Program!

Dondoo za ruzuku

-Mtoaji wa fedha: Africa Youth Energy Innovator
-Maeneo ya Mradi: Nishati, Mazingira, Ajira n.k
-Sifa ya Uraia: Nchi yoyote ya Afrika
-Sifa ya umri: Miaka 18 - 35
-Mwisho wa kutuma maombi: 4 Januari 2019

4. START UPPER OF THE YEAR: Funding Opportunities: Call For Proposals STARTUPPER OF THE YEAR BY TOTAL – [TANZANIA], 2018

Dondoo za ruzuku

-Mtoaji wa fedha - TOTAL TANZANIA LIMITED
-Aina ya msaada itolewayo; financial support, exposure, coaching
-Mwisho wa kutuma maombi: 13 Nov 2018

5. Miradi yenye kugusa maslahi ya watoto na vijana; The Global Fund for Children | Funds 4 Africa


KARIBU KWA HUDUMA ZIFUATAZO;

  • Utafutaji wa taariza za fedha (Grants, (Awards for Start-ups/ Entrepreneurs)), Uandaaji wa Mchanganuo wa Mradi (Project Proposal/Business Plan/Concept), Utumaji wa Maombi/Mchanganuo wa Mradi kwa mfadhili husika kwa niaba ya mteja.

  • Utoaji wa mafunzo (workshop trainings) katika Usimamizi wa Miradi (Project Management), Uibuaji wa Mipango Mkakati (Strategic Planning), Utafutaji wa fedha kwa ajili ya Miradi na biashara (Fund Raising)

  • Uandaaji wa Mipango Mkakati (Strategic Plan)

The Consult; +255 719 518 367,
E-mail; theconsult38@gmail.com
Dar es Salaam,
Tanzania.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom