Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari kama kuna mtu ana body ya landrover discovery 200 naomba tuwasiliane inbox. Liwe kwenye hali nzuri tu.
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Kama uzi unavyojieleza Nahitaji coster namba c bajeti yangu na 25-30 inategemea na uimara
0 Reactions
3 Replies
697 Views
Majani lishe ya kupunguza uzito yanapunguza kilo 15-20 kwa mwezi Haya ni majani lishe yatakayokusaidia kupunguza uzito kuanzia kilo 15 hadi 20 kwa mwezi ukitumia majani haya hauharishi na matokeo...
2 Reactions
28 Replies
5K Views
Kama uzi unavyojieleza; Nahitaji coster namba c bajeti yangu na 25-30 inategemea na uimara
1 Reactions
0 Replies
392 Views
Iaptop car adaptor from UK for sale bei 50000 tu,PM for details Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Salaam, Nyumba inapatikana Ubungo Riverside. Ipo karibu kabisa na barabara ya Mandela ( kama meter 150) Maelezo husika: Nyumba ina vyumba vitatu (ikiwemo master), sitting room, dinning room...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Location - mita 500 kutoka chuo cha mipango Eneo - mita 45 ×mita 35 Bei ni milioni 13 Maongezi -PM Dalali hausiki.
0 Reactions
2 Replies
870 Views
Habari...husika na kichwa cha habari hapo juu nauza story za vitabu kwa bei nafuu
0 Reactions
2 Replies
784 Views
Mimi fundi umeme wa nyumba mwenye uzoefu mkubwa....hii ni offa kwa kipindi hiki...Nafanya wiringi za nyumba aina zote..sehemu yoyote hapa TANZANIA.kwa bei ya maelewano..nitakusikiliza...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Za mchana wapendwa. Nilitaka kujua kama kuna anayejua kampuni inayotengeneza beverage plastics za kwa jumla. . Kama inawezekana, wawe wanafanya custom design (tofauti na zile za mtaani za juice...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani naomba kujulishwa mahala penye soko zuri la Dagaa wa nyama wale wa baharini wanachemshwa kisha wakakaushwa vizuri,karibu +255719142151
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kibanda kizuri kwa ajili ya biashara kinauzwa.. Kipo mbezi mwisho! Ni kikubwa na kina nafasi ya kutosha kwa ajili ya biashara yoyote! Anaekihitaji anitext via
0 Reactions
22 Replies
3K Views
DESKTOP 1.HDD 500gb+ 2. Ram 4gb+ 3. Icore i3 or i5 4. Monitor 19 inch+ LAP TOP hdd 500 ram 4 gb km unayo ni PM nipo Dsm temeke
0 Reactions
2 Replies
619 Views
Habari za leo wadau. Nauza shamba langu Fukayosi, Bagamoyo. Shamba lina hati na liko umbali wa takribani 2km kutoka barabara ya Lami ielekeayo Msata. Bei maelewano
0 Reactions
3 Replies
977 Views
Kwa wanaohitaji kutengenezewa mchanganuo wa mahesabu (Business plan). Natengeneza michanganuo ya mahesabu ya uhakika (bankable) kwa bei ya ushindani. Nina Bcomm (Acctg), CPA na TIOB pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Offer yangu ni mil 8 hadi 9. Gari uwe Dar es salaam.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wakuu....... wewe unahitaji kulima na huna shamba ..? usipate tabu. .. kuna shamba linakodishwa kwa bei y'a tsh.40,000# kwa ekari.. Shamba liko Kabuku... bodaboda toka kabuku mjini mpaka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Deep Friyer single Plat yake ina ujazo wa lita 6. Inatumia Umeme Bei Tsh 160000 tu Free Delivery in Dar Whatsapp/call 0672493910
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, kwa wale wenye ufahamu kuhusu ukweli wa bei harisi wa haya magari tunayoona yanatangazwa humu jf. Mfano kuna subaru moja ya mwaka 2004 bei yake imewekwa $160 yaani kama laki tatu na nusu...
0 Reactions
8 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…