Nahitaji Noah old model namba D.

Nahitaji Noah old model namba D.

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,372
Offer yangu ni mil 8 hadi 9.
Gari uwe Dar es salaam.
 
Ninayo no C ila iko njema, kama uko serious inbox no yako nikutumie pics watsup uje na fundi wako mjiridhishe. Bei mil 9 haipungui hata mia. Mi sio dalali gari niCCR
 
Ninayo no C ila iko njema, kama uko serious inbox no yako nikutumie pics watsup uje na fundi wako mjiridhishe. Bei mil 9 haipungui hata mia. Mi sio dalali gari niCCR
C hapana kwa mil 9.
Ahsante!
 
Yani wewe karne hii unanunua gari kwa kuangalia namba, pole sana utakosa gari nzuri.
USHAURI: Kuna gari zingine no A ila nichuma kuliko D.
Nimekutumia namba PM nitumie picha WhatsApp
 
Thanks mkuu kwa kunijulisha sikujua hicho
Kua makini mtoa mada,

Kuna gari No.D zimetumika Zanzibar zaidi ya 10yr

Kisha zikaletwa Tanganyika na kusajiliwa upya kwa kupewa no.D hiyo unayoitafuta wewe.
 
Kwani unaharaka Sana na gari? Ungeweza kuagiza wewe mwenyewe Japan na ungepata Noah nzuri tu kwa hiyo bajeti yako.
 
Kwani unaharaka Sana na gari? Ungeweza kuagiza wewe mwenyewe Japan na ungepata Noah nzuri tu kwa hiyo bajeti yako.
Mkuu nilienda ofisi za befoward lakini gharama yao inafika mil 17.5 ,nimeshangaa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom