Nauza kiwanja mbezi mwisho. Kipo karibu na old morogoro road . Kina sqm 1280. kina hati miliki. Kipo eneo la biashara. Unaw eza kujenga soko na fremu na raman ipo kwa atakaeipenda. maji, umeme...
Habari ;
Nimekuwa nikikumia App ya ZeMGame kwa miezi mitatu sasa, Katika hii miezi mitatu idadi ya wateja katika baa yangu imeongezeka kwa asilimia 93%. Hii ni kutokana na kuwa ZeMGame...
Habari za kutwa nzima wadau wa jukwaa biashara
Nimefanya kilimo cha biashara strawberry Sasa wakuu natafuta soko kama kuna anaejua kuhusu soko la strawberry
Toyota Carina TI ya mwaka 2000 engine 5A ina cc 1490 imetembea kilomita 100,100 gari ni Automatic fuel petrol linauzwa milion 7 na laki 3
Geri ipo kwenye hali nzuri kabisa linapatikana sinza...
Nauza PIKIPIKI aina ya boxer imetumika miezi 10 na uko katika hari nzuri kabisa na haina tatizo lolote na kila kitu kipo amna magumashi inapatikana kimara baruti bei 950,000 laki Tisa na nusu cont...
Gari iko vizuri. Kila kitu kiko sawa. Imetembea kilomita 86,000.
Injini ya 2AZ ya VVTi yenye Cc 2360 ambayo ni ndogo na ulaji wa mafuta wa wastani.
Kwa mawasiliano piga 0754455865. Gari ipo...
Habari zenu wadau,
Natafuta spoiler ya Starlet Glanza...ile inayokaaga kwenye mlango wa nyuma...bajeti yangu Laki 2. ila inaweza kuongezeka kutegemea na hali ya spoiler yenyewe.
Wapi nitapa vifaa vya kilimo na umwagiliaji.
Pembejeo machine za kuvuta maji na washauri wazuri kwenye kilimo cha umwagiliaji. Maana naona biashara sasa inabana sana. Natanguliza shukurani.kwenu...
Wakuu, niko kwenye steji ya uwekaji madirisha. Nahitaji vifaa kwa ajili ya kutengeneza madirisha hayo kwa yeyote mwenye hardware na bei nzuri. Karibuni wakuu.
Habari za jioni wadau,nauza Frege,jiko kubwa la gas,mtungi wa O-gas 15kg
Display ya chips,meza tatu za kucomelea,meza 1 ya mable, jiko kubwa la mkaa,frypan 2 (kubwa na ndogo)
Kikaangia cha chapati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.