Hi
Leo tujadili kwa pamoja njia ambazo unaweza ukatumia kupunguza gharama wakati wa ujenzi
1. Kuchagua simple design(avoid complex design) au tuseme chagua ramani nzuri na rahisi haina...
Wakuu, salaam!!!..
Ninahitaji engine ya Landrover 110 - 300 Series.
Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790
Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni moja na nusu...
Habari
Kwa wale wenye viwanja lakini wanashindwa kuanza kujenga kwa kuhofu kuhusu gharama, au wanasikiliza maneno ya watu kuwa kujenga ni mpaka uwe na mil 100 nawapa trick za kuweza kumudu na...
Toyota Mark X | 2005
2wd | 2490cc
Other option--AW HID P-SEAT S-SWITCH
••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
BEI--12.7mil
∆kisaka [emoji338][emoji336]0715558258
Wadau nauza hii gari aina ya Noah.
Gari ipo Katika hali nzuri sana, haina tatizo lolote, tangu imenunuliwa imekuwepo tu nyumbani haijatumika sana.
Gari ipo Iringa mjini, muuzaji ni mm mwenyewe...
Heshima kwenu wakuu,
Nauza kwa pamoja kuku chotara mbegu ya sasso... Mitetea na majogoo. Wote wana miezi 6, Mitetea ndio wanaanza kutaga na Majogoo yanaanza kuwika., Wapo Goba-Kinzudi
Mitetea...
Nauza Xiaomi Redmi Note 5 mpya sealed kwenye box.
Key specifications: RAM 3GB, Screen Size: 5.9", Memory 32GB, Camera Dual (12MP + 5MP) Front Camera 13MP, Android 8, Battery 4000mAh.
Bei Laki 5...
Wakuu, salaam!!!..
Ninahitaji used Landcruiser Hardtop, Pickup, Station wagon au Van, iwe na engine ya 1Hz, (engine tofauti na 1Hz tunaweza angalia uwezekano wa mazungumzo pia), iwe katika hali...
Wakuu, salaam!!!..
Ninahitaji Landrover 110 - 300 Series, iwe station wagon, van, pickup n.k ili mradi iwe katika hali nzuri.
Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790...
Rejareja
8*8 @80000(shuka 2 na foronya 4)
Jumla kuanzia pea 10
8*8 @65,000/=(650,000/=)
#bidhaatz
Gharama ya usafiri juu ya mteja,na waliopo mikoani tunawatumia pia kwa uaminifu
Tunapatikana...
Wakuu, salaam!!!..
Ninahitaji Landrover 110 - 300 Series, iwe station wagon, van, pickup n.k ili mradi iwe katika hali nzuri.
Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790...
NDUGU ZANGU WANA JF, NAOMBENI UZOEFU KWA MWENYE UELEWA WA MAGARI YAFUATAYO,
1.. NISSAN PATROL YENYE ENGINE TD42
2..TOYOTA PRADO YENYE 2700 CC 3RZ ENGINE
3..LANDROVER DEFENDER TDI 2500 CC...
Wakuu, salaam!!!..
Ninahitaji engine ya Landrover 110 - 300 Series.
Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790
Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni moja na nusu...
Habari!
Naitwa Risker, ni Mshauri na Mchambuzi wa mambo ya kibiashara. Nakaribisha watu wenye Mitaji Midogo, Ya Kati na Mikubwa wanaotaka kuwekeza kwenye soko la Tanzania na nje Niweze kuwapatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.