Nimelipenda linafaa sana kufugia mbwa.!Kibanda kizuri kwa ajili ya biashara kinauzwa.. Kipo mbezi mwisho! Ni kikubwa na kina nafasi ya kutosha kwa ajili ya biashara yoyote! Anaekihitaji anitext via 0658204046View attachment 963353View attachment 963354View attachment 963355
Duh haya bana ngoja nifikirie mana mambo ya vichochoroni huwa siyapendiTuwasiliane mkuu 0658204046
Weka bei wazi bado nikija chocho najua nafata niniHamna uswahili mkuu... Utalipenda na litakufaa am sure
kina ukubwa gani?urefu upana kimoKina nafasi nzur sana
Inataka 500k mkuu
Kweli neno zuri lina maana nyingi aisee,Kweli definition ya neno "zuri" ni pana sana
70,000 cash ipoInataka 500k mkuu
Hii laki 5 umefikiria nini kwa mfano na sio bei ingine?Laki tano mkuu... Mazungumzo yapo,kidogo
Kama huitaji mkuu sioni haja ya ww kuulizia vitu usivovihitaji...! Unaweza kupita tu usitafute matusi kwa lazimaHii laki 5 umefikiria nini kwa mfano na sio bei ingine?
1) Materials & Labor Charges
2) Demand ya Kibanda au
3) Wewe una uhitaji wa hiyo laki 5