Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Songea mbinga madaba namtumbo kaributu kuhudumie spare bora za pikipiki
0 Reactions
1 Replies
839 Views
Habar wanajf. Tunawatangazia tuition wazazi na walezi mlete mwanao st peter education centre ambao IPo bunju A usalama barabara ya kuelekea kanisa ya efhata ministry Masoma yanayofundisha kwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyumba ipo Tegeta namanga jirani kabisa na kibo complex, mita 400 kutoka Bagamoyo Road Vyumba 4 na kati ya hivyo 3 ni self Ni family house Size plot 550 sqm Hati ipo Bei Tsh 350m Maongezi yapo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Greetings 2u my dear Jf members. Kama kuna mtu anaweza akanisaidia soko la viazi lishe hapa Dar-es-salaam naomba unisaidie plz. Nataka nijue soko lake kabla sijaingia shambani coz kna mtu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Nina mpango wa kujenga nyumba eneo la MATARAWE NJOMBE MJINI. Nyumba ni ya vyumba 3 na sebule. Hivyo naomba kufahamu bei ya mabati ya MSAUZI. Natanguliza shukurani.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Napatikana kuanzia wiki hii tu kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa kumi jioni, book na toa location nitakufuata maana vifaa vyangu ni mobile.
0 Reactions
27 Replies
14K Views
Wakuu kuna mtu anauza eneo lake,,lina nyumba mbili,,ya mbele ya room tatu imefikia kwenye linta-ya nyuma vyumba viwili na sebule kuna umeme na maji anakaa mwenyewe,, Maeneo meko ya tegeta mbuyuni...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
-For premium security services -Electric Fence Installation -Acces Control systems - Cards & Biometrics -CCTV Installation - IP & Analogue -Automatic Intruder Alarms System with SMS...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu? Kwa wale wapenzi wa riwaya mbalimbali hususani vye marehemu Bne Mtobwa sasa vinapatikana. Vitabu hivyo ni pamoja na mfululizo wa vitabu vya Joram Kiango na vitabu vingine vya...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Christmas[emoji319][emoji318][emoji348][emoji300] Ofaa Karibu AUTOCOM JAPAN UAGIZE GARI |Gharama nafuu | Ubora zaidi •malipo kwa awamu mbili• Toyota Probox Year--2006 Engine--1490cc...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Feni Ya Chini Brand: Dolphin Gear: 3 Condition: Used 1 Month/Like New Price: Negotiable 40,000 Hili goma upepo wake unazima moto wa kuzimu.
2 Reactions
15 Replies
5K Views
Location: changanyikeni shuleni Asking price: 200m CONTACT: 0769272733
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ni brand ya EARR Hp 15 sister brand na YAMAHA..made in CHINA..NI MPYA Bei mil.3.9 negotiable namba 0685574141
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kiwanja hiki kipo Toangoma njia ya kutoka kongowe kwenda Kigamboni. Stend ya kwa Yatima ilipo funcity. Kutoka barabara kuu mpaka kilipo kiwanja ni kilometa 1.3 Njia za mitaa zimezingatia kuweka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunapangisha vyumba, nyumba, na apartments Katika maeneo yafuatayo ya jiji la Dar es Salaam. Mwenge Sinza Changanyikeni Mawasiliano Makumbusho Mbezi Africansana Bunju Makongo Ubungo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
AGIZA GARI KWA GHARAMA NAFUU #AUTOCOMJAPAN SUBARU IMPREZA | 2007 CC 1490 | 2WD Other option--RS FOG ••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Gharama kamili mpaka usajili--11mil Kisaka...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
For SALE EXTERNAL HARD DRIVE Model TRANCEND 1Tera(1000GB) mpya kasoro kava Haijawahi kufunguliwa Bei 120000/-
0 Reactions
1 Replies
504 Views
Wakuu naombeni kufahamishwa kuhusu tin number mm nataka kufungua biashara na sina tin number je nikienda tra kufatilia sitochajiwa hela?au kukadiriwa kabla sijaanza biashara?ahsanteni
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Nina aina 2 1. Hawa weupe ni Spitz puppies Dume wa 3, Wana miezi 1.5 Kila mmoja nauza 200,000/= 2. German Shepherd Cross Wana miezi 2, Dume 1 na jike 2, Nauza 300,000/= Wapo Dar, 0744898813 Karibuni.
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wakuu, nimekua mpenzi sana wa kufuga mbwa kwa muda mrefu Sasa na mbwa wangu amebahatika kuzaa watoto wanne. Kinachonitatiza ni sijajua hii ni breed gani ya mbwa maana hata nikiulizwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom